Wednesday, January 31, 2018

Hotuba ya Mhe. Jenista Mhagama kuhusu Mswada wa sheria: Mfuko wa hifadhi za jamii kuunganishwa

HOTUBA YA MHE. JENISTA MHAGAMA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WATU WENYE ULEMAVU AKIWASILISHA MUSWADA WA SHERIA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WATUMISHI WA UMMA WA MWAKA 2018.


Muswada huu unapendekeza kuunganishwa mifuko ya Pensheni ya PSPF, LAPF, GEPF na PPF ili kuanzisha Mfuko mmoja wa Hifadhi ya Jamii.
Hatua ya kuunganisha mifuko ya Pensheni inalenga kukidhi kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi kuhusu kuunganisha mifuko hiyo ili kupunguza gharama za luendeshaji.
Sheria inayopendekezwa itaweka mfumo madhubuti utakaomhakikishia mwanachama kulipwa mafao ya msingi kama inavyoeleza Katiba ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania ya 1977 Ibara ya 11 (1).