Friday, January 24, 2014

Mamia ya watu waharibiwa makazi kwasababu ya Mafuriko huko Morogorro



Daraja likiwa limeharibiwa vibaya Moja kati ya maeneo ya Dumila kuelekea Dodoma


MAFURIKO YAVUNJA DARAJA LA BEREGA

Barabara zikigeuka bahari kutokana na mvua zilizo nyesha kwa siku moja tu.




Mafuriko yakiwa yamevunja kabsa lililoko   daraja maeneo ya Berega huko Dumila ambapo katika barabara ya Morogoro – Dodoma

31 comments:

Anitha Salvatory 1812 said...

This is very sad

Unknown said...

Tanzania ni majanga ee Mungu tusaidie..

JEREMIAH PHANUEL said...

TANZANIA YETU HII BABA MIUNDO MBINU DUNI
MNASEMAJE NINYI WASOMI?

Unknown said...

Tanzania ni majanga ee Mungu tusaidie..

JEREMIAH PHANUEL said...

NIKWELI@ DJ KIJOOOO

Anonymous said...

balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Unknown said...

balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Unknown said...

Nyerere angekuwepo angesemaje,tungemwambiaje,angeonaje????

Unknown said...

Dah hayo ni majanga kwa kweli lakini imesaidia kwa vijana wengi wa kitanzania ambao wengi wao hawana ajira so poleni kwa waanga wote.
Serikali ijitahidi kuwawezesha waandisi wazawa ili wasiwe na njaa na hela na kututengenezea vitu vibovu.

Unknown said...

polen jaman

Unknown said...

Mungu atawasaidia

Unknown said...

poleni, morogoro.Mwenyez mungu atawasaidia

Unknown said...

balaaaaa

Unknown said...

Mungu awasaidie

Unknown said...

serikali iwape msaaada

Unknown said...

yafaa wasaidiwe kwa mahitaji muhimu

Unknown said...

dah hatar na polen sana wagna morogoro

Unknown said...

Ndio maana President kasema misaada ipelekwe

Unknown said...

duuu poleni sana mungu awatie nguvu.

Unknown said...

seen

Unknown said...

we need changes of system

Unknown said...

Mungu awatie nguvu wote walofikwa na tatizo hil

Anitha Salvatory 1812 said...

Everything will be allright

Unknown said...

oh my god

Unknown said...

DUUUU...............

Eugenia Kombeo said...

Oooh mai tuwaombee

Unknown said...

It is terrible

Unknown said...

very dangerous

Unknown said...

give the quantified effects of this hazards

Unknown said...

mafuriko ni hatari jamani

chalaji samson said...

mafuriko sio mchezo.poleni sana ndugu zetu.