Mkulima wa mahindi anayelima hekta moja anahitaji mbegu na mbolea za kupandia na kukuzia zenye thamani ya tshs 220,000. Kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa chakula nchini Serikali iliamua kuanzisha mfumo wa kutoa ruzuku ya pembejeo kwa wakulima wa hali ya chini. Kwa mfumo huu serikali hulipia tshs 140,000 kupitia vocha anazopewa mkulima na kuziwasilisha kwa mawakala wa mbolea na mbegu. Hivyo mkulima hulipia tshs 80,000 tu.
Serikali kupitia wizara ya kilimo na chakula hutengeneza Vocha hizo na kuzigawa mikoani ambapo napo huzigawa wilayani kisha vijijini. Serikali ya Kijiji kupitia mkutano Mkuu wa kijiji huteua wafaidika wa mfumo huu na kuwapa Vocha. Wao hupeleka Vocha hizi kwa mawakala wa pembejeo, wanalipa fedha ya juu na kupewa mbolea na mbegu. Mawakala hupeleka fedha hizi Benki ya NMB ambayo huwalipa mawakala fedha ya thamani ya Vocha. Wizara ya Fedha nayo
Lakini mfumo mzima umegundulika ni wa kifisadi ambapo orodha ya wafaidika huchakachuliwa kiasi cha kuweka hata watu waliokufa kwamba wamepokea mbolea. Kamati ya Bunge ya PAC katika kikao chake na wizara ya kilimo na mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali tarehe 28 January 2014, iliambiwa kuwa baadhi ya maeneo nchini mawakala walikuwa wananunua Vocha kutoka kwa wakulima kwa tshs 10,000. Katika jimbo la uchaguzi la kigoma kaskazini mawakala walinunua Vocha hata kwa shs 2000 na wao kwenda kulipwa tshs 140,000 huko benki kana kwamba waliuza mbolea ile kwa wakulima.
click here to read more
huilipa NMB ambayo hutoa huduma hii kwa riba ya 4%

76 comments:
Tunaomba ushahidi wa kutosha
unao ushaidi ndugu
Ushahidi nikitu kidogo the main point ni kwamba upate aidea na ikiwezekana uutafute mwenyewe
That's not true Mr Andrew....
thank you very much for your short explanation
i need your advice to convice us
thanx so much
thantks so much
Mr. Andrew please may u have a long life
YUNI EBRAHIM .K.
sawa
Thanx much
nashukuru
YAH THATS TRUE
vizuri
thenk
sawa nimekuelewa bt ninaomba ushahidi
je kuna ushahidi wowote...???
Ushahidi ni muhimu tafadhali
Nice
that is good
ni kweli?
wananchi wapewe kutokana na uwezo wao
Viongozi mliopewa dhamana ya kuwahudumia wananchi punguzeni ufisadi.
greattttt!!!
ufisadi ni adui wa maendeleo
it is true
viongozi mbadilike!!!!
dah majanga
eeeeeeeeeee
kabisa hata haujakosea
good thing
kweli ruzuku ni muhimu
kweli ruzuku ni muhimu
nimeiona/ isaack mussa
sawa kiongozi
ndio tunaitaji pembejeo
ndio tunaitaji pembejeo
ndio tunaitaji pembejeo
ndio tunaitaji pembejeo
tanzania ebu tuache ufisadi hatujifunzi kutokana na makosa yanayotokana na ufisadi jamani
ndio tunaitaji pembejeo
mungu tusaidie
kwa kwel,kilimo kuendelea tanzania ni ishu!
tunahitaji pembejeo za kutosha
kweli pembejeo ni muhimu sana
i like that
ohhhh
yeah its true...
HII NDO TANZANIA
Aisee hii issue ya ufisadi kwenye pembejeo ni noma...am mabula ndakama fst..
omary,selemani
so good
hi
ni matatizo matupu aiseee
Kwao ni fursa.
Ili kuondokana na tatizo, viongozi bora wanahitajika na sio bora viongozi,Uzalendo ikiwa ni chachu ya kumpata kiongozi bora. Tujipange watanzania
Ili kuondokana na tatizo, viongozi bora wanahitajika na sio bora viongozi,Uzalendo ikiwa ni chachu ya kumpata kiongozi bora. Tujipange watanzania
safi sana broo.... keep it up
si tatizo la viongozi tu bali pia wananchi tubadilike tuchague na kufuatilia viongozi wetu
it's fine to find latest and interesting information from this blog.
it's fine to find latest and interesting information from this blog.
hongera broo
ni kweli
Ndugu,endelea kufichua na mengine...
Zubeir Othman
wananchi wapewe kutokana na uwezo wao
TZ YETU BANA POLICY NZUURII IMPLEMENTATION "F"
MASHINDIKE, FAUSTINE. K
Wakulima ni watu mhimu nchini, wahitaji kusaminiwa
Ufisadi unaanzia ngazi ya familia kwa hiyo hao mafisadi ni kawaida yao
the government should more seriously on this issues because farmers are very important in this sector,
it is true mr andrwew,thanks so much
angalieni wakulima jamani....he!
ni nzuri sana hio
da! hilo nalo tatizo.
Post a Comment