Thursday, January 30, 2014

Ruzuku ya pembejeo ina ufisadi mkubwa

Mkulima wa mahindi anayelima hekta moja anahitaji mbegu na mbolea za kupandia na kukuzia zenye thamani ya tshs 220,000. Kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa chakula nchini Serikali iliamua kuanzisha mfumo wa kutoa ruzuku ya pembejeo kwa wakulima wa hali ya chini. Kwa mfumo huu serikali hulipia tshs 140,000 kupitia vocha anazopewa mkulima na kuziwasilisha kwa mawakala wa mbolea na mbegu. Hivyo mkulima hulipia tshs 80,000 tu.



Serikali kupitia wizara ya kilimo na chakula hutengeneza Vocha hizo na kuzigawa mikoani ambapo napo huzigawa wilayani kisha vijijini. Serikali ya Kijiji kupitia mkutano Mkuu wa kijiji huteua wafaidika wa mfumo huu na kuwapa Vocha. Wao hupeleka Vocha hizi kwa mawakala wa pembejeo, wanalipa fedha ya juu na kupewa mbolea na mbegu. Mawakala hupeleka fedha hizi Benki ya NMB ambayo huwalipa mawakala fedha ya thamani ya Vocha. Wizara ya Fedha nayo 
huilipa NMB ambayo hutoa huduma hii kwa riba ya 4%

Lakini mfumo mzima umegundulika ni wa kifisadi ambapo orodha ya wafaidika huchakachuliwa kiasi cha kuweka hata watu waliokufa kwamba wamepokea mbolea. Kamati ya Bunge ya PAC katika kikao chake na wizara ya kilimo na mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali tarehe 28 January 2014, iliambiwa kuwa baadhi ya maeneo nchini mawakala walikuwa wananunua Vocha kutoka kwa wakulima kwa tshs 10,000. Katika jimbo la uchaguzi la kigoma kaskazini mawakala walinunua Vocha hata kwa shs 2000 na wao kwenda kulipwa tshs 140,000 huko benki kana kwamba waliuza mbolea ile kwa wakulima.

click here to read more

76 comments:

Unknown said...

Tunaomba ushahidi wa kutosha

BROOBEAT ENTERTAINMENT said...

unao ushaidi ndugu

Toto Africa Adventures said...

Ushahidi nikitu kidogo the main point ni kwamba upate aidea na ikiwezekana uutafute mwenyewe

Unknown said...

That's not true Mr Andrew....

Unknown said...

thank you very much for your short explanation

PRECIOUS LEAH said...

i need your advice to convice us

PRECIOUS LEAH said...

thanx so much

PRECIOUS LEAH said...

thantks so much

Unknown said...

Mr. Andrew please may u have a long life
YUNI EBRAHIM .K.

Unknown said...

sawa

Anonymous said...

Thanx much

Anonymous said...

nashukuru

Yustin said...

YAH THATS TRUE

Unknown said...

vizuri

ARON MBUNGU said...

thenk

Anonymous said...


sawa nimekuelewa bt ninaomba ushahidi

Martine Aloyce said...

je kuna ushahidi wowote...???

Unknown said...

Ushahidi ni muhimu tafadhali

kilawawitness said...

Nice

Unknown said...

that is good

Unknown said...

ni kweli?

Anonymous said...

wananchi wapewe kutokana na uwezo wao

Unknown said...

Viongozi mliopewa dhamana ya kuwahudumia wananchi punguzeni ufisadi.

Anonymous said...

greattttt!!!

Violeth Wilson said...

ufisadi ni adui wa maendeleo

Unknown said...

it is true

Unknown said...

viongozi mbadilike!!!!

Unknown said...

dah majanga

Unknown said...

eeeeeeeeeee

Unknown said...

kabisa hata haujakosea

noel hosea,l said...

good thing

Unknown said...

kweli ruzuku ni muhimu

Unknown said...

kweli ruzuku ni muhimu

Unknown said...

nimeiona/ isaack mussa

Unknown said...

sawa kiongozi

florah said...

ndio tunaitaji pembejeo

florah said...

ndio tunaitaji pembejeo

florah said...

ndio tunaitaji pembejeo

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...
This comment has been removed by the author.
florah said...

ndio tunaitaji pembejeo

Unknown said...

tanzania ebu tuache ufisadi hatujifunzi kutokana na makosa yanayotokana na ufisadi jamani

Unknown said...

ndio tunaitaji pembejeo

Unknown said...

mungu tusaidie

Unknown said...

kwa kwel,kilimo kuendelea tanzania ni ishu!

Unknown said...

tunahitaji pembejeo za kutosha

Unknown said...

kweli pembejeo ni muhimu sana

Unknown said...

i like that

Unknown said...

ohhhh

Unknown said...

yeah its true...

Unknown said...

HII NDO TANZANIA

Unknown said...

Aisee hii issue ya ufisadi kwenye pembejeo ni noma...am mabula ndakama fst..

Unknown said...

omary,selemani
so good

Unknown said...

hi

Unknown said...

ni matatizo matupu aiseee

Unknown said...

Kwao ni fursa.

Unknown said...

Ili kuondokana na tatizo, viongozi bora wanahitajika na sio bora viongozi,Uzalendo ikiwa ni chachu ya kumpata kiongozi bora. Tujipange watanzania

Unknown said...

Ili kuondokana na tatizo, viongozi bora wanahitajika na sio bora viongozi,Uzalendo ikiwa ni chachu ya kumpata kiongozi bora. Tujipange watanzania

Shaushi, Silafrank said...

safi sana broo.... keep it up

mganga j said...

si tatizo la viongozi tu bali pia wananchi tubadilike tuchague na kufuatilia viongozi wetu

Mwasha, Emmanuel said...

it's fine to find latest and interesting information from this blog.

Mwasha, Emmanuel said...

it's fine to find latest and interesting information from this blog.

Unknown said...

hongera broo

Anonymous said...

ni kweli

Unknown said...

Ndugu,endelea kufichua na mengine...

Anonymous said...

Zubeir Othman

wananchi wapewe kutokana na uwezo wao

ASANTERABI URASSA said...

TZ YETU BANA POLICY NZUURII IMPLEMENTATION "F"

MASHINDIKE, FAUSTINE. K said...

MASHINDIKE, FAUSTINE. K

Wakulima ni watu mhimu nchini, wahitaji kusaminiwa

Unknown said...

Ufisadi unaanzia ngazi ya familia kwa hiyo hao mafisadi ni kawaida yao

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...

the government should more seriously on this issues because farmers are very important in this sector,

Unknown said...

it is true mr andrwew,thanks so much

Anonymous said...

angalieni wakulima jamani....he!

mgimbila vitto said...

ni nzuri sana hio

Unknown said...

da! hilo nalo tatizo.