Tuesday, April 5, 2016

Unafahamu kiasi kilichokusanywa tangu Dr. JPM aingie madarakani? soma hapa


Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dr. John Magufuli ilipoingia madarakani tarehe 5 december 2015 ilianza kwa ajenda kubwa ya kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza ukusanyaji wa mapato ambapo iliipangia Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ kufikia kiwango cha TRILIONI 12.363kwenye makusanyo yake kwa mwaka 2015/2016.
April 04 2016 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata alitoa ripoti inayoonyesha kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato katika kipindi cha Machi 2016 kwa kukusanya TRILIONI 1.316 ambayo ni sawa na 101.0% ya lengo la kukusanya shilingi TRILIONI 1.302

Monday, April 4, 2016

MBUNGE WA CCM WA JIMBO LA MVOMERO SULEIMAN SADDIQ MURAD APATA MAJANGA MENGINE


Katikati ni Saddiq Murad Mbunge wa Mvomero

Baada ya TAKUKURU kumpandisha mahakamani wiki iliyopita kwa kuomba rushwa ya milioni 30, shirika la Viwango Tanzania (TBS) nalo limeifunga Bekari yake( tanuri mikate ) kwa muda usiojulikana kwa kutotimiza masharti ya viwango vya ubora. 

Tanuri mikate hiyo pamoja na zingine 3 za watu wengine zilizopo Mkoani Morogoro, zilikaguliwa kwa mara ya kwanza Julai mwaka jana na wamiliki wake kupewa muda wa miezi sita kurekebisha kasoro zilizokuwepo, lakini hadi Machi 10, mwaka huu katika ukaguzi mwingine walikuwa hawajatekeleza na kutimiza masharti yaliyotolewa na TBS. 

Breacking News: Siku ya Muungano itafanywa bila shamrashamra

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ni kati ya viongozi wanaofanya mambo ambayo wengi hawakutarajia. Miongoni mwa vitu vikubwa vilivyomuweka kwenye vichwa vya habari Rais  Dr. John Pombe Magufuli toka aingie madarakani ni pamoja na kutangaza kusitisha shamrashamra za sherehe za uhuru na shilingi bilioni nne iliyokua itumike kwenye sherehe hizo kitaifa ikapelekwa kwenda kutengeza barabara.
Leo tarehe 4, April 2016 habari mpya ni kwamba Rais Magufuli katika barua iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu ameahirisha shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Muungano kwa mwaka huu ambayo huadhimishwa kila tarehe 26 ya Mwezi Aprili na badala yake ameelekeza kuwa siku hiyo itakuwa ya mapumziko kama kawaida na watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani kwao ama katika shughuli zao binafsi.

Kufuatia kuahirishwa kwa shamrashamra hizo, Rais Magufuli ameelekeza kuwa fedha zilizopangwa kutumika kwa ajili ya kugharamia vinywaji, vyakula, gwaride, halaiki, burudani mbalimbali na hafla ya usiku ambazo ni zaidi ya shilingi za kitanzania Bilioni 2, zitumike kuanzisha upanuzi wa barabara ya “Mwanza – Airport” katika eneo linaloanzia Ghana Quaters hadi Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
Barabara hiyo inafanyiwa upanuzi ili kukabiliana na kero ya msongamano mkubwa wa magari ambao unaathiri shughuli za kila siku za wananchi.

Several Job Opportunities

Vacancies at  PTA Bank www.ajiradailytz.com share with a friend
Job vacancies at Jordan University Morogoro www.ajiradailytz.com share with a friend
Vacancies at African development Bank www.ajiradailytz.com share with a friend
UNDP Internship programme www.ajiradailytz.com share with a friend
Information system engineer post  www.ajiradailytz.com share with a friend
Senior Information technology officer , East Africa community www.ajiradailytz.com share with a friend
Nafasi za kazi KCB bank Tembelea www.ajiradailytz.com share ujumbe huu na Rafiki yako anayetafuta kazi
Nafasi za kazi TANESCO Tembelea www.ajiradailytz.com share ujumbe huu na Rafiki yako anayetafuta kazi
Nafasi za kazi mpya nyingi tembelea www.ajiradailytz.com share na mwenzio
Nafasi za kazi wizara ya nishati na madini tembelea www.ajiradailytz.com share ujumbe huu na Rafiki yako anayetafuta kazi

Friday, April 1, 2016

MSHAHARA WA RAIS WA TANZANIA HUU HAPA

Imekuwa vigumu sana kwa viongozi wakuu wa nchi kutaja hadharani mishahara yao wanayo lipwa lwkini hili limekuwa si kasumba tena kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. DR. John Pombe Magufuli.

Rais huyu mchapakazi wa Tanzania amempigia simu mtangazaji wa kipindi cha ‪Clouds360‬ cha ‪‎CloudsTv‬, Hudson Kamoga baada ya kusikia watu wanazungumzia kuhusu mshahara wa Rais.

EWURA yashusha bei ya umeme na kufuta Service Charge


Leo kitendawili kimeteguliwa baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA kutangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti.

Kushuka huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kutaka bei za umeme zipunguzwe. Sambamba na ushushwaji wa bei za umeme gharama za huduma kwa baadhi ya wateja zimeondolewa. 
Bei mpya  kwa watumiaji wadogo ni sh.100 kwa uniti, watumiaji wa kati ni sh.292  toka  298  ya  zamani.Wafanyabiashara wadogo ni sh. 195 toka sh. 200  ya  hapo  awali.

Bei mpya  kwa wafanyabiashara wa kati ni sh.157 toka sh. 159. Wanaonunua kwa wingi (bulk) ni sh. 152  toka  sh. 156  ya  hapo awali.
Hii ni habari njema sana kwa watumiaji wa nisahti ya umeme.

Employment Opportunities at SUA

JOB OPPORTUNITIES

WELLCOME TRUST has provided fund through Intermediate Fellowship in Public Health and Tropical Medicine (IFPHTM) - Foot-and-Mouth Disease (FMD) Project titled “Full-genome sequencing to identify determinants that impact upon foot-and-mouth disease virus strains with potential for enhanced transmission in endemic settings in Africa”. Also The United States Defence Threat Reduction Agency (DTRA) through the University of California, Davis has provided funds for the Projects titled “Viral Sharing of Zoonotic agents between human and wildlife in Kilombero Valley” (VISHA). Also, the United States Agency for International Development (USAID) through the University of California, Davis has provided funds for the Project titled “PREDICT 2”.

Read the attachment