Wednesday, December 31, 2014

Breaking News: Mtuhumiwa wa Madawa ya Kulevya apigwa risasi Mahakama ya Kisutu



Mtuhumiwa alipojaribu kutoroka mahakamani hapo akiwa amenasa kwenya nondo za uzio

Tumepata taarifa hivi punde kutoka kwa mdau wa habari huko dar maeneo ya kisutu. Kuna Mtuhumiwa wa Madawa za Kulevya ambaye alikuja mahakamani hapo asubuhi hii kujibu mashtaka. Lakini mtuhumiwa huyo akiwa selo alijaribu kutoroka kutoka kwenye selo ya mahakamani hapo. Ingawa alifanikiwa kufika kwenye fensi maafisa wa magereza walifanikiwa kumuwahi na wakampiga risasi na kufa papo hapo.


Wapita njia wakishangaa kuona mtu ananing'inia kwenye uzio wa mahakama ya Kisutu
Mwili wa mtuhumiwa ukitolewa na askari

1 comment:

Unknown said...

That's what happened.#Frank Matandura