Saturday, December 27, 2014

BBC: Kilio cha wakulima wa Karafuu Pemba

Source:BBC Swahili

Kisiwa kidogo cha Pemba katika bahari ya Hindi, kilikuwa ndio walimaji wakubwa wa karafuu duniani kwa miaka na mikaka.
Hivi karibuni, nafasi hiyo hivi karibuni imechukuliwa na Indonesia. Wakulima wa karafuu sasa wanasema wanahitaji serikali yao kuwasaidia zaidi ili kuweza kuendeleza kilimo cha zao hilo walilolima kwa miaka mingi.
Karafuu inatumiwa duniani katika chakula, dawa na nchini Indonesia ni moja ya kiungo muhimu kwa utengenezaji wa Cigars. 

Kama ilivoripotiwa na SALIM KIKEKE
Ili kuangalia video iliyo ambatanishwa bonyeza hapa

source: www.bbcswahili.com

No comments: