Sunday, December 28, 2014

Sasa ni Roboti badala ya binadam kwenye migahawa: Soma hii


Roboti zapata ajira mgahawani China


Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo

For more visit here
Source: bbc.com

1 comment:

Unknown said...

its good thing,but for Tanzania...baadae sana