Tuesday, January 20, 2015

JOB NEWS


1.  Project Manager / Technology Uptake Specialist and  
Country Project Managers (Ghana, Mali and Nigeria)
initially for three years, and extendable depending on performance of  
the incumbent and funding availability

Organisation/Location: International Crops Research Institute for the  
Semi-Arid Tropics (ICRISAT)
Application deadline: 20-January-2015

Magazeti ya leo kutoka kwa Millardayo

Haya ndiyo magazeti ya leo Tanzania Click here

QUOTE OF THE DAY

"Beware of false knowledge; it is more dangerous than ignorance"

Sunday, January 18, 2015

27 Vacant posts in TANZANIA public institutions


Ref. Na EA.7/96/01/H/28 15th January, 2015
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of the Business Registrations and Licensing Agency (BRELA)
and Tanzania Meteorological Agency (TMA) the Public Service
Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 27 vacant posts in
the above public institutions.

NB: GENERAL CONDITIONS
i. All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
ii. Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact postal address, e-mail address and telephone numbers.
iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement.
iv. The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter and marked on the envelope; short of which will make the application invalid.

VACANCIES ANOUNCED AT BRELA



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA



PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT

Ref. Na EA.7/96/01/H/30 16th January, 2015
VACANCIES ANNOUNCEMENT


On behalf of the Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) the Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 14 vacant posts in the above public institution.


NB: GENERAL CONDITIONS
i. All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should

Thursday, January 15, 2015

Watch for laughs: Interesting narrative

Hear how this mother is narrating issues that affected her in past, affect now and future life. She has the guts to say she has her own plans with confidence and that is what should be done by most of us.



Statement by NBC ON THEFT THROUGH MOBILE BANKING

This is a statement given by the NBC Management on the allegations that have been circulating on social media about theft on NBC mobile banking and mass fraud. 
The statement reads;

"NBC management has of recent come across messages that are circulating within the social media channels carrying stories that NBC has become a victim of mass fraud ATM transactions in customers’ accounts, and urging customers to withdraw their balances.

NBC would like to inform our esteemed customers and the general public that the stories circulating in the social media are unfounded. However, ATM fraud transactions, also known as Card Skimming, are an industry wide concern that is jointly being resolved by all commercial banks under the auspices of Tanzania Bankers Association (TBA).
NBC wishes to once again reassure our customers and the general public that the messages circulating in the social media channels are unfounded. NBC remains committed to serving our customers in the most convenient and innovative manner".

Issued by Management

Wednesday, January 14, 2015

Wlio fanikiwa kuchaguliwa kwenye Usaili TBS Tar. 08-01-2015 waitwa kazini

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji kazi waliofanya usaili tarehe 08-01-2015 kuwa wafuatao wamechaguliwa, hivyo wanatakiwa kufika TBS tarehe 15.01.2015 ili kukamilisha taratibu za ajira.

MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).

TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA MWAKA 2015.


UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:

BARUA ZA MAELEKEZO ZITATUMWA MIKOANI FEBRUARI 2015, MCHAKATO WA KUCHAGUA VIJANA WILAYANI NA MIKOANI (MACHI HADI APRILI 2015), TIMU ZA USAILI TOKA MAKAO MAKUU YA JKT ZITAKUWA MIKOANI MEI 2015 NA VIJANA WALIOCHAGULIWA KURIPOTI VIKOSINI JUNI 2015.

LINATOLEWA ANGALIZO KWA VIJANA, WAZAZI/WALEZI KUEPUKA KUDANGANYWA NA MATAPELI WANAOJIHUSISHA NA UUZAJI WA FOMU BANDIA ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.

FOMU ZINAZOTOLEWA SASA NI BATILI. JESHI LA KUJENGA TAIFA HALITATAMBUA USAILI WOWOTE UTAKAOFANYIKA KINYUME NA UTARATIBU ULIOAINISHWA.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU

Monday, January 12, 2015

SIASA HAZICHAGUI ZATAWALA HATA KWENYE MISIBA: ONA MSIBA WA FIDEL ODINGA ULIVOKUWA

Mazishi ya Fidel Odinga, mtoto wa kwanza wa Waziri Mkuu Mstaafu, Raila A. Odinga
MWAKA 2015 umeanza kwa Simanzi kubwa iliyoikumba familia ya waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga baada ya taarifa ya kifo cha mtoto mkubwa wa mwanasiasa huyo mashuhuri nchini Kenya. Taarifa ya kifo cha mtoto wa odinga ilitolewa asubuhi ya Tarehe 04/01/2015.

MLEMAVU ALITUMIA MDOMO KUANDIKA MTIHANI WA SHULE YA MSINGI NA AKANG’ARA

MSICHANA mlemavu, Christine Kavandi Kavale, mwenye umri wa  miaka 17 kutoka kijiji cha Kutha, eneobunge la Kitui Magharibi mwa Kenya alitumia mdomo kuandika majibu ya KCPE na akatia fora baada ya kujizolea alama 317 kati ya 500 na kuibuka wa kwanza katika kitongoji. Licha ya msichana huyo kuwa na ulemavu wa miguu pamoja na mikono, alikuwa mwanafunzi taa katika Shule ya Msingi ya Kithyoko, wilayani Masinga huko Kenya.
Kulingana na Naibu wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bwana Boniface Masaka aliyemfunza Christine tangu ajiunge na shule hiyo, palikuwepo matumaini chungu nzima kwamba angefanya vyema kwenye mtihani huo wa kitaifa licha ya kukumbana na changamoto kedekede.

TANGAZO: Waliopangiwa vituo vya kazi kwa kada za afya 2015

NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2014/2015

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anapenda kuwaarifu Wizara imeanza zoezi la kuwapangia vituo vya vya kazi Wataalam wa Kada za Afya kwa mwaka wa fedha 2014/2015.

Wataalam wote waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kwa waajiri wao ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo. Aidha,

Sunday, January 11, 2015

HOW TO OVERCOME A HEATED ARGUMENT

Dealing with someone else's emotions is always hard, and often it just involves letting someone blow off steam. 

When you find yourself in a heated argument, clinical psychologist with 40 years of experience Dr. Albert J. Bernstein says, as people often argue with adults rationally, no matter how upset they are, trying to talk them out of being angry rarely works however, treating them like you would a screaming child doesn't have to mean being condescending:

Dunia imekwisha: Wambaka mtoto hadi kufa na kumweka kwenye sinki

MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Rwanda Nzovwe jijini Mbeya , Elika Mkubwa (8), amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema baada ya watu hao kufanya unyama huo, waliuweka mwili wa mtoto huyo katika sinki la kuogea kwenye nyumba moja ambayo haijakamilika ujenzi wake. Pamoja na hayo, alisema upelelezi bado unaendelea ili kuwabaini waliohusika na tukio hilo. 

Akizungumza eneo la tukio, kiongozi wa Mtaa wa Ilomba, Ezekiel Mwakalandwa, alisema taarifa za mauaji hayo alizipata jana asubuhi kupitia kwa majirani zake.

To all motor vehicle importers see Notice from TBS

NOTICE TO THE PUBLIC AND ALL MOTOR VEHICLES IMPORTERS

The Tanzania Bureau of Standards (TBS) started to inspect used motor vehicles in 2002, since then international tenders are advertised to look for qualified agents/companies to inspect vehicles on behalf of TBS. The former tender expired in 2014 hence TBS re-advertised international tender for inspection of used motor vehicles from Japan and United Arab Emirates. Companies which won international tender and their inspection fee charges are as follow:

MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI (aka SUGU) APATA AJALI

Kuna taarifa tulizozipata jioni ya leo January 10 kupitia mitandao mbalimbali, watu wametumiana picha na taarifa kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepata ajali eneo la Kitonga, Iringa.
Picha hizo zinaonyesha Mbunge huyo amesimama na watu kadhaa pembeni ya gari aina ya Land Cruiser iliyopinduka.
Taarifa ya uhakika niliyoipata kuhusu tukio

Thursday, January 8, 2015

Infografic:The Science of Food and Happiness


Nyie EWURA ni Kwanini bei ya Mafuta kwa walaji haishuki kwa kasi?

Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 45% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta wakiwemo wenye daladala, mabasi wala taxi na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2000 kwa Petroli na 1900 kwa dizeli, bei ambayo ni karibia ile ile kwa miezi michache iliyopita.

MISINGI MITATU YA KUJIJENGA 2015 KWA WAPENDA MAENDELEO

Mwaka mpya umeanza na mambo mapya. Anghalab hii ni kauli ambayo umeisema baada ya mwaka huu kuanza. Kabla hatujaangalia kwa undani kauli hii, naomba nichukue nafasi hii kukutakia wewe msomaji wa TRACING CHALLENGES AND OPPORTUNITIES heri ya mwaka mpya 2015. 

Ni jambo la kushukuru kupata nafasi ya kuuona mwaka huu na hivyo ni muhimu ukaitumia fursa hiyo vizuri ili uweze kuleta mabadiliko kwenye maisha yako.

CHENGE AMEJIUZULU

WAKATI Watanzania wakisubiri hatima ya Waziri wa Madini na Nishati Profesa Sospeter Muhongo, ambaye Rais Kikwete alisema anamuweka kiporo kutokana na kashfa ya Escrow, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mh Andrew Chenge, ametangaza rasmi kuachia nafasi hiyo.
Bunge lililopita baada ya kujadili ripoti CAG kuhusu miamala ilyofanyika kwenye akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania, lilipitisha maazimio manane ikiwemo kuwajibishwa viongozi wa Serikali na wale wa kamati za Bunge walionekana kuhusika katika kashfa hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa, Chenge alitangaza kujiuzulu nafasi yake juzi baada ya kamati yake kukutana kwenye ofisi ndogo za Bunge jijijni Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya shughuli za Bunge, John Joel, alipotakiwa kuthibitisha hili, alisema hayuko ofisini, hivyo hawezi kuwa na jibu la moja kwa moja.

TPDC:Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao

Dar es Salaam. Watanzania waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuanza kutumia umeme utokanao na mradi wa gesi asilia wa Kinyerezi, sasa watahitajika kuvuta subira kidogo kutokana na uzalishaji wa nishati hiyo kusogezwa hadi katikati ya mwezi ujao.
Awali, maofisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na makandarasi wa mradi kwa nyakati tofauti, walinukuliwa kuwa ujenzi ungekamilika Desemba mwaka jana na uzalishaji wa majaribio ungeanza mapema mwezi huu.
Hata hivyo, ripoti ya maendeleo ya mradi huo iliyotolewa jana na TPDC inaonyesha kuwa baadhi ya masuala ya ujenzi na ununuzi yanatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu na Februari.
Ripoti hiyo inaonyesha

JINSI YA KUANZISHA KAMPUNI

Ni ukweli usiofichika kuwa  biashara  na ujasirimali  kwa pamoja vimekua kwa kiwango kikubwa hapa nchini. Yote hii inatokana na sababu nyingi, ikiwemo ya kukua kwa biashara za kimataifa, maendeleo ya mawasiliano, marekebisho ya baadhi ya sera za nchi na sababu nyinginezo. 
Kwa hakika hali yote hiyo, imesababisha ugumu kwa wajasiriamali wanaofanya biashara zao nje ya kampuni. Kwa dunia ilivyo kwa sasa, si rahisi mtu kufanikiwa katika biashara yake kama biashara yake hiyo haiku katika mfumo wa kampuni. Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku, mafanikio zaidi ni pale biashara hiyo utakapoifanya iwe katika mfumo wa kampuni. 
Ni kutokana na umuhimu huo, imenilazimu niwasilishe mjadala huu kwa wasomaji wangu,

Wednesday, January 7, 2015

eLearning Africa 2015: Submit your proposal!

Enriching Tomorrow: eLearning Africa 2015 Returns to Ethiopia

Rebecca Stromeyer, CEO of ICWE GmbH and Founder of eLearning Africa, joined H.E. Dr Debretsion Gebremichael, with the rank of Deputy Prime Minister and Minister of Communication and Information Technology of Ethiopia, today (Wednesday) to announce that the annual eLearning Africa conference will return to Ethiopia, the country of its inauguration, for its tenth anniversary edition. The conference, which is the largest international event in Africa on ICT for education, training and development, will be held in Addis Ababa from May 20th – 22nd, under the patronage of the Ethiopian Government.

Speaking of Ethiopia’s decision to host the event, H.E. Dr Debretsion Gebremichael said, “My government is pleased to host eLearning Africa as this is a conference returning to Ethiopia, where my government joined arms with ICWE in conceiving and launching the first eLearning Africa platform on African soil. eLearning Africa 2015 will create an opportunity to reflect on the 10 year journey traversed by eLearning Africa since its first conference in Addis Ababa. Furthermore, Ethiopia, as the seat of the African Union, welcomes conferences that bring together African policy makers and experts once more back to their home.”

Saturday, January 3, 2015

Taarifa ya Tume ya Uchaguzi kuhusu Zoezi la BVR la Kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Mfano wa mashine ya mfumo wa BVR
Ndugu Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Watendaji wa Tume, Mabibi na Mabwana.
Kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisheni kwa mara nyingine katika Mkutano huu. Nawashukuru kwamba, pamoja na majukumu mengi mliyo nayo, mmeweza kuupa umuhimu wa pekee mkutano wetu huu na kuhudhuria kwa wingi. Kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, nasema Ahsanteni na Karibuni sana.


Katika mkutano huu, Tume inalenga kutoa taarifa kuhusu tathmini ya utekelezaji wa zoezi la majaribio ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (Pilot Registration) kwa mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) zoezi ambalo lilikamilika wiki iliyopita.

PROF. JAY NA AFANDE SELE SASA WATANGAZA MAJIMBO YA KUGOMBEA 2015


MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, anatarajia kugombea Ubunge jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro mwaka huu. 

Akizungumza na Tanzania Daima, rafiki yake wa karibu na Profesa Jay, Selemani Msindi ‘Afande Sele’, alisema kwa sasa yupo Mikumi kwa ajili ya kumsaidia Profesa Jay katika maandalizi ya uchaguzi mkuu hapo mwakani.


Friday, January 2, 2015

AMANI: Njia 4 za kufikia utajiri (Ajira siyo mojawapo)

Fedha ni muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku. Hii ni kwa sababu fedha ndio inatuwezesha kupata mahitaji yote ya msingi kwenye maisha. Hivyo ili kuwa na maisha bora ni muhimu sana kuwa na fedha za kutosha. Kwa kifupi inabidi uwe na fedha za kukutosheleza au kwa kutumia neno rahisi ni muhimu wewe kuwa tajiri. Au kama hupendi kutumia neno tajiri kwa kufikiri sio neno zuri basi ni muhimu wewe kuwa na uhuru wa kifedha.

Utakuwa na uhuru wa kifedha pale ambapo fedha inakuwa sio hofu tena kwako. Na ili kuweza kufikia hatua hii kuna njia ambazo ni muhimu kupitia. Leo tutajadili njia nne za uhakika za kufikia utajiri na jinsi unavyoweza kuzitumia. Kwa bahati mbaya sana katika njia hizi ile ambayo inapendwa na watu wengi haipo. Njia hiyo inayopendwa na watu wengi na ambayo haiwezi kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha au utajiri ni ajira. Baadae tutaona ni kwa nini ni vigumu sana kufikia uhuru wa kifedha kupitia ajira.
Zifuatazo ni njia nne za uhakika za kufikia utajiri.