Wednesday, January 14, 2015

Wlio fanikiwa kuchaguliwa kwenye Usaili TBS Tar. 08-01-2015 waitwa kazini

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji kazi waliofanya usaili tarehe 08-01-2015 kuwa wafuatao wamechaguliwa, hivyo wanatakiwa kufika TBS tarehe 15.01.2015 ili kukamilisha taratibu za ajira.

3 comments:

Rahito said...

hongera zao mungu awajalie

Unknown said...

its good/DIT20142015/SALMA YANGE

Unknown said...

HONGERA KWA WOTE WALIO CHAGULIWA NAWATAKIA MAFANIKIO KTK KAZI ZAO NA PIA WAACHANE NA TAMAA YA PESA,WAFANYE KAZI KWA MOYO NA HAKI