Wednesday, January 14, 2015

MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).

TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA MWAKA 2015.


UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:

BARUA ZA MAELEKEZO ZITATUMWA MIKOANI FEBRUARI 2015, MCHAKATO WA KUCHAGUA VIJANA WILAYANI NA MIKOANI (MACHI HADI APRILI 2015), TIMU ZA USAILI TOKA MAKAO MAKUU YA JKT ZITAKUWA MIKOANI MEI 2015 NA VIJANA WALIOCHAGULIWA KURIPOTI VIKOSINI JUNI 2015.

LINATOLEWA ANGALIZO KWA VIJANA, WAZAZI/WALEZI KUEPUKA KUDANGANYWA NA MATAPELI WANAOJIHUSISHA NA UUZAJI WA FOMU BANDIA ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.

FOMU ZINAZOTOLEWA SASA NI BATILI. JESHI LA KUJENGA TAIFA HALITATAMBUA USAILI WOWOTE UTAKAOFANYIKA KINYUME NA UTARATIBU ULIOAINISHWA.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU

18 comments:

Unknown said...

ukakamavu kwa vijana#DIT SWALEHE FAKII SAID

Anonymous said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

Ujasiri na ukakamavu ndio unatakiwa lazima vijana wakafundishwe maadili na ukakamavu#DIT WILBARD MICHAEL

Unknown said...

SON OF GOD
#DIT MPAKI TUMAIN JOSHUA

Unknown said...

vijana tufanye kazi kwa bidii. #martine slyvery DIT.

Unknown said...

Ooh thats great# MBWANA ORPAH DIT

Unknown said...

it's good thing for our country#DIT

Ajuna Faustine said...
This comment has been removed by the author.
Ajuna Faustine said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...

yah it is a good news

Ajuna Faustine said...

Its so Great for our country

Anonymous said...

very nice, i wish i could join in

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...

its good.

Unknown said...

VERY GOOD | ANS/D/12/T/0011

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...

Inakuwa ni vizuri kwa vijana kuhudhuria mafunzo y jeshi ambayo yanawafanya angalau hata wakimaliza wanaweza kuajiliwa katika makampuni mbalimbali ya ulinzi na hata kuweza kukabiliana n a uhalifu ndani ya jamii inayowazunguka.
#DIT