Thursday, March 13, 2014

CHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI


Wanajumuiya wa SUA ( Wafanyakazi na Wanafunzi):

Unity Trust of Tanzania (UTT) ikishirikiana na Idara ya Uchumi Kilimo na 
Biashara (DAEA)itafanya uwasilishaji wa mada juu ya fursa mbalia mbali za akiba na 
uwekezaji kupitia UTT  mbazo zinamanufaa makubwa kwa Watanzania UTT ni taasisi ya 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Wizara ya Fedha lenye majukumu
ya kufanya uwekezaji wa pamoja, yaani "Collective Investment Schemes in Tanzania".
Hivyo unakaribishwa kwenye semina hiyo itakayo tolewa na Ms. Marth D. Mashiku ambaye ni 
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa UTT. Kwa wale wanaopenda kuchangamkia fursa
hizi za UTT wanakaribishwa siku ya Ijumaa.

SIKU: Ijumaa Mwezi Machi 14, 2014 (kesho kutwa)
MAHALI: SUA Main Compus LT2
MUDA: Kuanzia saa 8 Mchana (1400hrs)

Nyote mnakaribishwa, tafadhali mjulishe na mwingine.
Tafadhali BOFYA HAPA Kuangalia kiambatanisho kwa maelezo zaidi.
Wenu katika kujifunza fursa za uwekezaji.

Fulgence J. Mishili
Department Postgraduate Coordinator (DAEA)
Sokoine University of Agriculture


No comments: