Wednesday, March 5, 2014

RIDHIWANI ASHINDA: HISTORIA YA FAMILIA NA UONGOZI

Taarifa zinasema matokeo ya kura za maoni za CCM kwa wagombea wa Ubunge Chalinze walikuwa Ridhiwani Kikwete, Shaban Iman Madega, Athuman Ramadhan Maneno na Changwa Mohamed Mkwazu.
Matokeo ya awali yanasema kura zilipigwa ifuatavyo:

Jumla 1,363
Changwa M. Mkwazu = 12
Tarehe 9/3 ni siku ya kuchukua fomu
Waliopiga 1,321
Athuman R. Maneno = 206
Tarehe 11/3 ni siku ya kurudisha fomu
Halali 1,316
Shaban I. Madega = 335
Tarehe 15/3 CCM itazindua rasmi kampeni
Zilizoharibika 5 
Ridhiwani Kikwete = 758




SOURCE: Wavuti.com

No comments: