NDUGU WASOMAJI WANGU NAOMBA TUCHUKUE DAKIKA CHACHE KUONA WABUMGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAKIFANYA KAZI WALIYO TUMWA
Katika video tatu zilizopachikwa hapo chini, video mbili za mwanzo zinahusiana na habari kwa maandishi na picha ya jana, video ya tatu ni ya siku iliyotangulia.
Katika video tatu zilizopachikwa hapo chini, video mbili za mwanzo zinahusiana na habari kwa maandishi na picha ya jana, video ya tatu ni ya siku iliyotangulia.
Hawa ni wale ambao wakikaa na akina sisi huku mtaani wakiangalia bunge la jamhuri ya Tanzania wanavyo lumbana huwa wanakereka sana na leo wame kuwa wao.
Kwa ufupi hili ni funzo kwetu!!!!
No comments:
Post a Comment