Monday, March 31, 2014

Ajali ya Treni Mpwapwa yaua wawili

Imeripotiwa kuwa watu wawili  wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ya Treni ya mizigo baada ya kichwa cha treni hiyo kusombwa na maji.

Akizungumzia ajali hiyo kwa njia ya simu jana, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Christopher Kangoye, alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa tisa usiku:


Soma zaidwavuti.com

No comments: