Friday, March 28, 2014

Mh. Lipumba akikataa kuingia kwenye hila za CCM kumtumia

Video iliyorekodiwa na "Kamati ya Maridhiano" ikiwaonesha wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalumu la Katiba hapo jana, Alhamisi, Machi 27, 2014 wakitoa maoni na michango yao kuhusiana na mvutano kuhusu aina ya upigaji kura, ama iwe ya wazi au ya siri.

2 comments:

Unknown said...

Siasa ina sura nyingi sana,maana hata mabishano yanaweza yawepo huku ukweli uko wazi.

Unknown said...

Siasa ina sura nyingi sana,maana hata mabishano yanaweza yawepo huku ukweli uko wazi.