Saturday, February 20, 2016

MAGUFULI HADI NIGERIA: Jinsi Magufuli anavyoshika kasi kwenye vyombo vya habari Duniani



Vyombo mbalimbali vya habari duniani kama Magazeti mbalimbali ya Uarabuni, Australia, South Africa na nchi nyingine kadhaa yamesifia utendaji kazi wa raisi mpya wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli hadi baadhi ya nchi zimefanya maandamano kushinikiza viongozi wao kujifunza kwa rais wetu.
Video hii imetoa mjumuisho wa jinsi magufiuli anavyo fanya kazi na jinsi mambo yanavyoonekana kuwezekana Afrika kama tukipata viongozi wenye nia thabiti ya kushughulikia watu wenye shida.


Na sasa ni zamu ya huyu mtangazaji wa TV nchini Nigeria anaesema kwanini Rais Magufuli ni raisi bora wa Afrika kwa sasa. Kwenye hii video hapa chini Adeola Fayehun ameongelea utendaji wa Rais Magufuli kwa hisia na kutaka wengine wa Afrika waige mfano kwenye ishu mbalimbali alizozifanya ikiwemo kutembelea Muhimbili hospitali, kuondoa shamrashamra za siku ya uhuru na pesa zake kuzipeleka kwenye ujenzi wa barabara, kuondoa safari za nje kwa viongozi na mengine.

4 comments:

agness.blogspot.com said...

Nice post.
I like the way this madam try to explain how did President Magufuli done, its seems she has real feeling with what Magufuli did in Tanzania.
HNU/D/2013/0014.

agness.blogspot.com said...

How lucky we are to have a nice president like MAGUFULI, majority of people around the world talk about Tanzania president, our president is SMART.
By LYARY GETRUDE M......HNU/D/2O13/0014.

Unknown said...

Waooooh,,,,,,,
This shows how president Magufuli inspire people around the world. Through this we can predict that in few years to come Tanzania will be at a better position.

Unknown said...

Very nice,,, president Magufuli touches not only the hearts of Tanzanian but the hearts of people around the world.
By KESSY Stella,,,,,,,HNU/D/2013/0021