Monday, March 31, 2014

Ajali ya Treni Mpwapwa yaua wawili

Imeripotiwa kuwa watu wawili  wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ya Treni ya mizigo baada ya kichwa cha treni hiyo kusombwa na maji.

Akizungumzia ajali hiyo kwa njia ya simu jana, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Christopher Kangoye, alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa tisa usiku:


Soma zaidwavuti.com

RESEARCH ASSISTANT POSITION IN SLIPP

Securing Rural Livelihood through Improved Pig Production Project (SLIPP) is looking for a competent candidate to serve as Research Assistant

Eligible candidates should hold a Master degree in Animal Science, Veterinary Medicine or Public health. The successful applicant shall take part in data collection on the impact of introduced interventions on the pig productivity, household income and pork safety. 

The candidate shall work in two Districts of Mbeya region: Mbeya rural and Mbozi.
If you are interested please contact Prof. F. P. Lekule (lekulefp@yahoo.com) or Dr. D.E. Mushi (danielmushi@yahoo.com) as soon as possible.

Friday, March 28, 2014

ADHA YA USAFIRI DAR WAKATI WA MVUA KAMA SIKU YA LEO

Wakazi wa jiji la Der Es Salaam wakihangaika kwenda makazini kwa miguu kutokana na adha ya usafiri. Mvua zilizoanza kunyesha juzi usiku na kuenelea jana na leo asubuhi jijini Dar es Salaam zimesababisha adha katika makazi ya watu hasa wanaoishi katika maeneo ya mabondeni na watumiaji wa barabara kutokana na miti kuanguka na kuziba njia huku maji yakijaa barabarani na kusababisha ugumu kwa vyombo vya moto kupita, kama inavyoonekana kwenye video na picha zifuatazo.



Mitaani nako hali si shwari




Mh. Lipumba akikataa kuingia kwenye hila za CCM kumtumia

Video iliyorekodiwa na "Kamati ya Maridhiano" ikiwaonesha wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalumu la Katiba hapo jana, Alhamisi, Machi 27, 2014 wakitoa maoni na michango yao kuhusiana na mvutano kuhusu aina ya upigaji kura, ama iwe ya wazi au ya siri.

Thursday, March 27, 2014

Scholarship at SUA, MUHAS, University of Zambia and University of Ghana

Call for applications for postgraduate training at Sokoine University of Agriculture (SUA); Muhimbili University of Health and Allied Sciences, (MUHAS), University of Ghana (UG) and University of Zambia, (UNZA) for the academic year 2014/15.
The scholarship covers the following cost lines
  • Monthly stipends of 600 and 900 euros for MSc and PhD candidates respectively, plus a settling allowance equivalent to a month's stipends; payable for placements of at least 6 months
  • Air travel, 
  • Participation fee of 3500 and 4000 euros for MSc and PhD candidates, respectively and payable every year but for placements of more than 9.5 months and 
  • Insurance coverage. The participation fee covers all university direct costs, tuition fees inclusive as well costs of residence permits.

For details Click here

TANZANIA SOCIETY OF ANIMAL PRODUCTION ANNUAL SCIENTIFIC CONFERENCE

TANZANIA SOCIETY OF ANIMAL PRODUCTION ANNUAL 
SCIENTIFIC CONFERENCE 
24 - 26th SEPTEMBER 2014, OLASIT GARDEN, ARUSHA, TANZANIA 

FIRST ANNOUNCEMENT AND CALL FOR PAPERS 

ANNOUNCEMENT 
The 37th Annual Scientific Conference for the Tanzania Society of Animal Production (TSAP) will be held in ARUSHA from 24 to 26th September 2014 at Olasit Garden. Arusha has a moderate weather and is a tourist hub. It has its own Arusha national park and is close to Manyara national park, Ngorongoro crater, the famous Serengeti national park and Mount Kilimanjaro.

Saturday, March 22, 2014

NICE GARDEN: FABULOUS DESIGN

Someone shared a tweet today and I thought I should not be selfish for those who love innovation.


This is a garden in Canada called Montreal Botanical Garden. Can we buy the ideas!


Msimamo wa Tanzania kuhusu NDOA ZA JINSIA MOJA (HOMOSEXUALITY): MWIGULU NCHEMBA

Sikuwahi kuwa mkereketwa wala sikuwahi kumsikiliza MHE. MWIGULU NCHEMBA kwa makini sana hasa kwasababu ya tabia na hoja zake kuwa na upendeleo/mrengo wa namna fulani hata kwa kulazimisha ilimradi aonekane ameshinda. Lakini katika hili alilizungumza kwenye hotuba aliyotoa kwenye kikao cha pamoja cha bunge la ACP na EU katika mji wa Strasbourg nchini Ufaransa amenifanya nifarijike. Nchemba alisema bila kumung'unya maneno "In Tanzania We will remain with our values without an assistance in dishonour of homosexual policies"

Swali lililoteka hisia za mkutano lilikuwa swali lililosema 

HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE, BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMA



Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia bunge maalum la katiba bungeni Dodoma March 21, 2014

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMA

Mheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba;
Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi;
Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar;
Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mheshimiwa Anne Semamba Makinda; Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano;
Mheshimiwa Pandu Ameir Kificho, Spika wa Baraza la Wawakilishi na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba ;
Mheshimiwa Rashid Othman Chande, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
Mheshimiwa Othman Makungu, Jaji Mkuu wa Zanzibar;
Viongozi Wakuu Wastaafu;
Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba;
Waheshimiwa Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;
Wageni waalikwa
Mabibi na Mabwana

Wednesday, March 19, 2014

WHY YOU SHOULD’T WORRY MUCH ABOUT WHAT PEOPLE THINK

Worrying too much about what other people think can become a self-fulfilling prophecy, because the way we think starts to become the way we behave.

These individuals become people-pleasers and are overly accommodating to others, thinking it will stop them from being judged. In fact, the opposite is true.

Most people don't like push-overs and are turned off by it. The behavior we use in an attempt to please others, can actually cause the opposing effect. This means that if you're a push-over, then you're going to be attracting others in your life who are also push-overs. Vice versa. This can be quite a dangerous path to go down if you don't recognize its consequences.

It's been said that we are the average of the five people we hang out with the most. When we start to attract and associate with the same people that share our weaknesses —we're stuck. We stop growing, because there's no one to challenge us to be better. We start thinking that this is the norm and we remain comfortable. This is not a place you want to be.


-- Tip by Sean Kim @ LifeHacker via wavuti.com

Monday, March 17, 2014

TANZANIA SECOND IN EAST AFRICA WHILE RWANDA TOPS IN AFRICAN RETAIL INDEX

First African Retail Development Index: Rwanda tops, Tanzania comes 4th
Ground breaking Report Sheds Light on Retail in Africa
Rwanda, Nigeria, Namibia, Tanzania and Gabon occupy the top five places of the inaugural A.T. Kearney African Retail Development Index (ARDI)
 A.T. Kearney Study provides global retailers with direction on entering specific African countries



JOHANNESBURG, South-Africa, March 17, 2014/ -- A new study designed to help large, organized retailers determine where and how to best enter Sub-Saharan Africa’s rapidly growing retail sector is published by A.T. Kearney (atkearney.com), a leading global strategy consultancy firm, today.

ZANZIBAR: Afa Akiongea Kupitia Simu Iliyopata Hitilafu Wakati Ikichajiwa

Ali Bakari Ali (20) mkazi wa Kisima Majongoo mjini Unguja amekufa baada ya simu yake aliyokuwa akitumia ambayo ilikuwa imeunganishwa na chaja ya umeme kupata hitilafu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkadam Khamis Mkadam amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Alisema Ali alikufa baada ya  kupata mshtuko wa umeme unaotokana na simu yake iliyokuwa imewekwa katika chaja ya umeme huku akifanya mawasiliano. 

“Ni kweli tumepata taarifa ya kifo cha kijana Bakari Ali ambaye alikuwa akisikiliza simu yake iliyokuwa imewekwa katika chaja ya umeme na kusababisha mshituko mkubwa,” alisema. 

Kamanda Mkadam alitoa wito kwa wananchi kuepusha ajali kama hizo kwa kuwataka kuwa waangalifu na pia kuziondoa simu zao kwenye umeme wakati wanapozisikiliza.

MATOKEO YA JUMLA YA KALENGA: MGIMWA (CCM) ANG'ARA

Wanakalenga hii leo Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndio FINAL RESULT,MATOKEO YA JUMLA.

CCM wamepata Kura 22908 
CHADEMA Wamepata Kura 5800 
Chausta 143.
CCM imeshinda kwa asilimia 79.4 
Chadema kwa Asilimia 20.1 
Chausta Kwa Asilimia  0.5



HONGERA GODFREY WILLIAM MGIMWA MBUNGE WA JIMBO LA KALENGA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 32 TU.


Scholarship: PhD programme in Global Change and Climate Economics

The Environmental Economics Unit (EEU) at the University of Gothenburg, in collaboration with the Beijer Institute of Ecological Economics, offer six full scholarships in a PhD program in Global Change and Climate Economics with admission September 2014. Deadline for application is 1 April, 2014.
These scholarships are only open to applicants from developing countries and in particular Bangaldesh, Bolivia, Burkina Faso, Ethiopia, Cambodia, Kenya, Mali, Mozambique, Rwanda, Tanzania, Uganda and Zambia. The choice of these countries has been made by the Swedish Government on the basis of long-term development cooperation.
The program span is four to five years, of which the first two years consist of compulsary coursework in mathematics, statistics, econometrics, micro- and macroeconomics. The second year includes a sequence of courses in climate and environmental economics.
More information about the PhD program and application form


MATOKEO YA WALI KALENGA

  1. CCM kura 22,908 (asilimia asilimia 79.4)
  2. CHADEMA kura 5,800 (asilimia 20.1)
  3. CHAUSTA kura 143 (asilimia 0.5)
Wafuasi wa CCM wakishangilia matokeo ya wali jimbo la Kalenga
Credit: wavuti.com

TAARIFA KWA WAHITIMU KIDATO CHA SITA 2014 KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI

KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KWA WAHITIMU WATARAJIWA WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014

Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013.
Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita.
Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne wasijaze fomu hizi walishajaza kupitia “selform” walizojaza walipokuwa shuleni.

MASHARTI KWA MWOMBAJI:
  1. Mwombaji anatakiwa ajaze fomu hii kikamilifu na abandike picha yake “Passport Size” kwenye fomu kisha akabidhi kwa Mkuu wa Shule kwa hatua zaidi.
  2. Kila mwombaji aandike namba ya simu kwa usahihi na anuani yake ya kudumu ambayo itatumika wakati wa kuitwa kwenye usaili.
  3. Bofya hapa kupatkua fomu ya chaguo.
Imetolewa na:

Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S.L.P. 9141,
DAR ES SALAAM.


Saturday, March 15, 2014

ZAWADI YA WOMEN'S DAY: Hii kali


CHEKA UONGEZE SIKU: WHEN A WOMAN IS FED UP, DON'T MESS WITH HER



MFUNGWA ALIYEFUNGWA MIAKA 26 AKISUBIRI KIFO HUKO MAREKANI

  • Glenn Ford, 64, spent 26 years awaiting execution for 1983 shooting death of jewelers and clockmaker Isadore Rozeman
  • Ford, an African-American, was tried and convicted of first-degree murder by all-white jury 
  • Death sentence was voided after prosecutors uncovered new information proving that Ford was not the shooter 
  • Police informant Jake Robinson, one of four men originally arrsted in the murder, had allegedly confessed to killing Rozeman
Lost years: Upon leaving death row, Ford told reporters that he does harbor some resentment at being wrongly jailed and denied the chance to help raise his sons, who are now grown men
A man who spent nearly 26 years on death row in Louisiana walked free of prison Tuesday, hours after a judge approved the state's motion to vacate the inmate's murder conviction in the 1983 killing of a jeweler.
Glenn Ford, 64, had been on death row since August 1988 in connection with the death of 56-year-old Isadore Rozeman, a Shreveport jeweler and watchmaker for whom Ford had done occasional yard work. Ford had always denied killing Rozeman.
Ford walked out the maximum security prison at Angola this afternoon, said Pam Laborde, a spokeswoman for Louisiana's Department of Public Safety and Corrections.


Read more: CLICK HERE

SOURCE: DAILYMAIL ONLINE 


MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA S. SITTA: ANENA KWENYE HOTUBA

Wajumbe wa Bunge la Katiba wana wajibu wa kuzingatia Kanuni walizozipitisha wenyewe wakati wa vikao vya Bunge hilo. Hiyo ndiyo salamu aliyoitoa Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge hilo, Samuel Sitta mara baada ya kula kiapo cha utumishi mjini Dodoma.




TANZANIA HOSTS HIGH-LEVEL DIALOGUE ON ECONOMIC INTEGRATION


The former president of Tanzania, Benjamin Mkapa (L) speaking to media in Dar es Salaam after finishing the High-level Dialogue which was organised by The Mandela Institute for Development Studies (MINDS) based in Johannesburg. (R) is the founder and Executive Chairman of MINDS, Dr. Nkosana Moyo. Picture by Cathbert Kajuna.
---
The former president of Tanzania, Benjamin Mkapa yesterday (14th March 2014) hosted various African thought leaders from trade, industry, political, civil society, consultants plus six former heads of state in an informal dialogue that discussed the pace of economic development in the continent.

Speaking to media in Dar es Salaam Mr. Mkapa said the one day High-level Dialogue was organised by The Mandela Institute for Development Studies (MINDS) based in Johannesburg and sought to address ways in which to make interaction between different sector leaderships more efficacious for African Development within countries and across the continent.

KUTAKAPOKUCHA (TRAILER)

Kutakapo kucha ............. ni siri ya Mungu (Trailer)
Tafadhali angalia Trailer ya video hii inafunzo. Naisubiri kwa hamu sana  






Cheka na KITIME: Anaulizi yapi kati ya haya ulifanya ukiwa mdogo?

Wakati wa utoto wetu kuna mambo mengi huwa tunayafanya bila kujua kama yatakuwa ni historia na bila shaka kila moja anaweza kuwa alifanya walau moja kati ya haya.

-       kuchovya mkate kwenye chai
-       kuweka wali wote kwenye mchuzi
-       kuvunja mfupa ili unyonye
-       kuweka nyama pembeni na kula mwisho baada ya kumaliza chakula
-       Kuonyesha wenzio chupi mpya
-       Kuomba pipi anayokula mwenzio
-       Kulamba sahani mpaka iwe safi
-       Kuvua viatu vipya,  na kutembea navyo mkononi ili watu wavione
-       Kuvaa kaptura mbili ili ukipigwa mboko zisiume
    
Shukrani sana kwa chekanakitime.blogspot.com

Thursday, March 13, 2014

CHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI


Wanajumuiya wa SUA ( Wafanyakazi na Wanafunzi):

Unity Trust of Tanzania (UTT) ikishirikiana na Idara ya Uchumi Kilimo na 
Biashara (DAEA)itafanya uwasilishaji wa mada juu ya fursa mbalia mbali za akiba na 
uwekezaji kupitia UTT  mbazo zinamanufaa makubwa kwa Watanzania UTT ni taasisi ya 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Wizara ya Fedha lenye majukumu
ya kufanya uwekezaji wa pamoja, yaani "Collective Investment Schemes in Tanzania".
Hivyo unakaribishwa kwenye semina hiyo itakayo tolewa na Ms. Marth D. Mashiku ambaye ni 
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa UTT. Kwa wale wanaopenda kuchangamkia fursa
hizi za UTT wanakaribishwa siku ya Ijumaa.

SIKU: Ijumaa Mwezi Machi 14, 2014 (kesho kutwa)
MAHALI: SUA Main Compus LT2
MUDA: Kuanzia saa 8 Mchana (1400hrs)

Nyote mnakaribishwa, tafadhali mjulishe na mwingine.
Tafadhali BOFYA HAPA Kuangalia kiambatanisho kwa maelezo zaidi.
Wenu katika kujifunza fursa za uwekezaji.

Fulgence J. Mishili
Department Postgraduate Coordinator (DAEA)
Sokoine University of Agriculture


INFOGRAPHIC: Fruits (mango) Benefits

Benefit of a mango fruit and the history of the tree


The Most Fabulous Mango Infographic
Infographic via Visually

Internship in SADC Countires

Crops For the Future Research Centre (CFFRC), Malaysia and  THE Centre for Coordination of Agricultural Research and Development for  Southern Africa (CCARDESA), Botswana  have a 3 month Internship to collect gray literature to describe the Farming Systems and role of underutilized crops and they  want to recruit people from these countries – preferably with a first degree in Agriculture.

Please bring it to the attention of potential candidates.

Employment opportunity:

Assistant Program Officer in charge of Research and Information services 

Introduction 
The Eastern Africa Farmers' Federation (EAFF) is a regional farmer organization whose membership consists of national farmer organizations, national co-operative organizations and apex commodity associations in ten countries in Eastern Africa - Burundi, Democratic Republic of Congo (DRC), Djibouti, Eritrea, Federal Democratic Republic of Congo, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania and Uganda. 

VARIOUS JOB VACANCIES


Overview:
Country Director will provide vision, leadership and direction to ensure the strategic, programmatic, technical, and financial integrity of Jhpiego’s programs in Tanzania. This includes guiding the strategic planning, design and implementation for country programs and achieving the planned results.  Country Director works closely with MOH to streamline efforts and ensure complementarities of projects, serves as the primary point of contact for USAID, DFID, MOH, stakeholders and partners and is responsible for managing relationships and collaboration with international and local partners. Country Director also ensures timely and cost-effective project implementation, reporting of activities, and will be responsible for all project deliverables.
Responsibilities:

Wednesday, March 12, 2014

JOB VACANCY

Job Title: Assistant Manager
Employer: USAWA (Umoja wa SACCOS za wakulima)
Duty Station:  Moshi, Tanzania
Application Deadline: 18th March 2014

Tasks and Responsibilities:
• Contributing to the implementation of USAWA’s activities as defined by the Board of Directors and described in USAWA’s annual budget and objectives
• Participation in the drafting and review of USAWA’s annual business plan and annual budget, including objectives and strategic planning
• Contributing to the implementation of financial and risk management principles
• Implementing USAWA support projects: organization, procedure set up and planning of activities
• Preparing USAWA’s quarterly and annual reports in cooperation with the Managing Director
• Contributing to the improvement of the quality of the services provided by the SACCOS to their members

Hawa ndio wagombea Ubunge CHALINZE

Jumla ya wagombea watano wamechukua fomu za kuwania Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Bagamoyo, zoezi ambalo litafungwa rasmi tarehe 12 Machi 2014 saa kumi kamili alasiri, kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Bagamoyo, David Shija.

Wagombea hao ni:-
  1. Mathayo Torongey (CHADEMA)
  2. Phabian Skauki wa (CUF)
  3. Vuniru Hussein (NRA) 
  4. Ramadhan Mgaya (ASP) 
  5. Ridhiwani Kikwete (CCM)
Nayo taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kwenda kwa vyombo vya habari inasomeka ifuatavyo:-
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika Kikao chake Maalum kilichofanyika trehe 09/03/2014 pamoja na mambo mengine:-
  1. Kilimteua Ndugu Ridhiwan Kikwete kuwa Mgombea wa CCM wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Chalinze katika Uchaguzi Mdogo utakaofanyika tarehe 06/04/2014.
  2. Uzinduzi wa Kampeni utafanywa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na kufungwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dr. Ali Mohamed Shein.
  3. Kampeni zitaendeshwa na Chama ngazi husika na kuratibiwa na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye.
Aidha, katika kikao hicho Kamati kuu ilipokea taarifa ya maendeleo ya Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa JImbo la Kalenga na kuridhika na mwenezo wa Kampeni ambapo CCM inategemea kupata ushindi mkubwa.

Chama Cha Mapinduzi kinawatakia kampeni njema na Uchaguzi mwema wananchi wa Jimbo la Chalinze. Vyama na Wagombea washindane kwa hoja si matusi wala kupigana. Tuendelee kudumisha Umoja, Amani na Mshikamano wetu.

Friday, March 7, 2014

HILI NDO BUNGE LETU MAALUM LA KATIBA:

NDUGU WASOMAJI WANGU NAOMBA TUCHUKUE DAKIKA CHACHE KUONA WABUMGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAKIFANYA KAZI WALIYO TUMWA

Katika video tatu zilizopachikwa hapo chini, video mbili za mwanzo zinahusiana na habari kwa maandishi na picha ya jana, video ya tatu ni ya siku iliyotangulia.






Hawa ni wale ambao wakikaa na akina sisi huku mtaani wakiangalia bunge la jamhuri ya Tanzania wanavyo lumbana huwa wanakereka sana na leo wame kuwa wao.

Kwa ufupi hili ni funzo kwetu!!!! 


Walioitwa Kwenye Usahili Chuo Kikuu cha Dodoma



Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia waombaji wa kazi mbalimbali kuwa usahili wa kuandika utafanyika Jumamosi ya tarehe 8 Machi, 2014 na Jumapili ya tarehe 9 Machi, 2014. Usahili huu utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi katika kumbi za mihadhara ya Skuli ya Sanaa na Lugha kama ifuatavyo:

Jumamosi tarehe 8 Machi 2014 
1.                  Maafisa Rasilimali Watu na Tawala
2.                  Maafisa Mipango  
3.                  Madereva  
4.                  Wahudumu  
5.                  Makatibu Muhtasi  
6.                  Wahudumu wa Afya 

Jumapili tarehe 9 Machi 2014 
1.               Wahasibu Wasaidizi  
2.               Wakaguzi wa Ndani Wasaidizi  
3.               Watunza Kumbumbu Wasaidizi
4.               Wasimamizi wa Mifumo ya Kompyuta Mtandao  
5.               Wasimamizi wa Maabara 

Usahili wa mahojiano kwa waombaji wa kada zote za afya isipokuwa wahudumu wa afya  utafanyika kuanzia Jumatatu tarehe 10 Machi, 2014. Usahili huu utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi katika jengo la Utawala kwa utaratibu ufuatao:-

Jumatatu tarehe 10 Machi 2014 
1.      Mafundi Wasaidizi wa Maabara  
2.      Mafundi  Sanifu Maabara 
3.      Wasaidizi Kumbukumbu za Afya
4.      Wahandisi Vifaa Tiba
5.      Mafundi  Sanifu - Dawa
6.      Mafundi Afya

Jumanne tarehe 11 Machi 2014 
 1.   Wauguzi/Wakunga
  2.  Maafisa Uuguzi

Jumatano tarehe 12 Machi 2014 
 - Madaktari

Alhamisi tarehe 13 Machi 2014 
1.      Wauguzi Wahitimu
2.      Madaktari Bingwa

Usahili wa mahojiano kwa waombaji wa kada zote ambazo hazikuorodheshwa hapo juu utafanyika  Jumatatu na Jumanne yaani  tarehe 17  na 18 Machi, 2014 kama ifuatavyo:

 Jumatatu tarehe 17 Machi, 2014 
1.               Wakufunzi wa Michezo  
2.               Maafisa Sheria  
3.               Waalimu Wakufunzi  
4.               Maafisa Ugavi  
5.               Mafundi  Mchundo
6.               Wapokezi Wageni  
7.               Wahandisi Maabara 

Jumanne tarehe 18 Machi, 2014
1.                  Mafundi Sanifu  
2.                  Maafisa Miliki 

Kuangalia Orodha ya wasahiliwa bofya hapa

ANGALIZO:

Siku ya usahili wasailiwa watatakiwa kuwasilisha nakala za vyeti na vyeti halisi, vitambulisho au kadi za kupigia kura na picha moja ya pasipoti.

Tarehe za usaili kwa wanataaluma zitatangazwa baadae.

Thursday, March 6, 2014

Michael Meyer: Rethinking East Africa’s prosperity gap

In recent years, the narrative of a “rising Africa” has been embraced by some and debunked by others. But all agree on what social engineers call “inclusiveness” – the degree to which members of a society share in its prosperity.

With it, say the boosters, Africa will rise. Without it, say the skeptics, it cannot.
Africa’s future really is as simple as that. Without a sense of social contract – a faith in shared progress – economies tend to become unstable and fall apart. “No society that hopes to prosper,” writes the economist Jeffrey Sachs in his book The Price of Civilization, “can afford to leave large parts of its population stuck in the poverty trap.”

Against this background, a new report by the Society for International Development (SID) in Nairobi is a sobering read. Its conclusion: a rising Africa – and in particular a rising East Africa – will never become a reality without economic progress across all sectors of society.
Superficially, East Africa appears to be doing well. Annual economic growth rates are averaging around 6%, and trade and foreign investment are rising. Some countries, such as Uganda and Tanzania, have large energy-resource endowments. In Kenya, the region’s largest economy, finance and new consumer service industries are propelling growth – an important economic evolution. Look deeper, however, and it is difficult not to worry. Across the region, the richest are the overwhelming beneficiaries of economic growth, while the poorest are falling further behind.

OPPORTUNITY!!: EUROPEAN INVESTMENT BANK AGREES ON NEW LENDING PROGRAMME THAT WILL BENEFIT SMALL BUSINESSES IN TANZANIA

The European Investment Bank, Europe’s long-term lending institution, has agreed a new lending programme with Bank of Africa Tanzania that will support investment by small companies across the country. The European Investment Bank will provide EUR 7 million (over 15 billion Tanzanian shillings) that will be matched by Bank of Africa.
The new initiative was formally agreed in Dar es Salaam by Pim van Ballekom, European Investment Bank Vice President for Africa, and Ammish Owusu-Amoah, Managing Director of Bank of Africa Tanzania.

“Investment by small and medium sized companies is essential to create new jobs and unlock business opportunities. We are pleased to have signed a new partnership today with Bank of Africa Tanzania. The European Investment Bank is committed to supporting private sector investment across Africa and today’s new initiative demonstrates our continued commitment to Tanzania.” said Pim van Ballekom, European Investment Bank Vice President.

Industry players flock to Tanzania in pursuit of oil and gas opportunities

Organised by Oliver Kinross, the 3rd East Africa Oil & Gas 2014 will take place on the 27th & 28th of March in Dar Es Salaam, Tanzania. Key figures from East Africa's booming oil & gas industry will come together for two packed days of presentations & discussions.
The massive recent hydrocarbon discoveries and the regions high prospectively will be amongst the discussions at the 3rd East Africa Oil & Gas Summit 2014 in Dar es Salaam.
On the 27th & 28th of March in Dar es Salaam, Tanzania key figures from East Africa's booming oil & gas industry will come together for two packed days of presentations & discussions. (East Africa Oil and Gas Summit 2014)


The summit will consist of a two day conference & exhibition. This year's event has to date the most extensive coverage of East Africa with speakers coming from Uganda, Madagascar, Kenya, Tanzania, Mozambique, Somalia, South Sudan, Ethiopia, Burundi, Eritrea & Rwanda. Click here to read more  

Source: www.prweb.com via www.wavuti.com 

Surrogacy Gains Ground In Dar and Costs Up To USD 25,000

In Vitro Fertilisation (IVF) procedure of surrogacy (a woman carries and delivers a child for another person/couple) is now available in Tanzania -- reports the Daily News.
The cost?
Ranges from 10,000 - 25,000 US Dollars inclusive of her contracted fees (a lumpsum), her monthly maintenance, pregnancy care for nine months, her rented home (if applicable), maternity dresses, feeding and hospital fees depending upon the number of babies she carries.
Fertility Specialist and Medical Director of Dar IVF and Fertility Clinic, Dr Edward Tamale Ssali exclusively told the 'Daily News on Saturday' that at least 20 procedures have successfully been conducted in the country and the demand is increasing.
"Surrogacy is now on the increase not only here in Tanzania but throughout the world. We have treated more than 100 cases in Uganda and 20 in Tanzania. We do this for women with no uterus, for women with scarred uterus due to fibroids and those with chronic medical conditions like renal failure, heart disease and for recurrent miscarriages," he explained read more

Wednesday, March 5, 2014

WATU WA UKANDA WA PWANI : Heavy rains expected/Mvua kubwa inatarajiwa

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF TRANSPORT
TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY

Telegrams:"METEO"DAR ES SALAAM.
Telephone: 255
(0) 22 2460706-8
Telefax: 255
(0) 22 2460735
P.O. BOX 3056
E-mail: met@meteo.go.tz
DAR ES SALAAM.
http//www.meteo.go.tz
Our ref: TMA/1622
04th March, 2014

Information to the Public: Heavy Rains at times.
Information No.
201403-01
Time of issue(Hour)
04:00pm
EAT
Category:
Warning
Valid from:
05th
Date
March, 2014
Valid to:
07th
March, 2014
Date
Phenomena/Hazard/Disaster
Periods of heavy precipitation exceeding 50mm in 24hours is expected.
Level of Confidence:
Medium: (65%)
Expected Area :
Entire coastal areas (Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam and Tanga
regions together with Unguja and Pemba isles).
This is due to deepening of the low pressure system over the eastern
Text:
Indian Ocean associated with abrupt northward shift of the Inter-tropical
convergence zone (ITCZ) hence enhancing moisture from the ocean
towards the coastal belt.
Advisory:
Residents and Ocean users together with Disaster Management
Authorities are advised to take necessary precautions.
Remarks:
Resent rains and the expected rains contribute to early “Masika” onset
over some areas of northern coast including Dar es Salaam.
TMA will continue to monitor the situation and issue updates when
necessary.

Issued by

Tanzania Meteorological Agency